Virusi vya kukunja majani

Virusi vya kukunja majani.
Virusi hivi haviwezi kuuliwa kwa sumu, vinaweza kusambazwa kutoka mmea mmoja hadi mwingine na nzi weupe, njia bora ya kudhibiti ugonjwa huu ni kwa kuuzuia, unaweza kuweka chandarua kuzingira kitalu chako ili kukilinda dhidi ya nzi weupe, panda mimea ya nafaka kuzingira shamba lako ili kulinda mbogamboga dhidi ya nzi weupe, mitego ya njano ni njia nzuri ya kujua kama shamba lako lina nzi weupe.
Kujifunza zaidi tazama video hapo juu.
YouTube Channel    Subscribe here