Kuandaa kitalu cha mpunga.

 

Katika video hii, utajifunza jinsi ya kuandaa kitalu, kwani kuweka kitalu kizuri kunahitajika ili kupata miche yenye nguvu na kutoa mwanzo mzuri wa zao la mpunga. Hebu tuangalie hatua kwa hatua.
YouTube Channel  ➭  Subscribe here