Mbinu za kukabiliana na inzi wanaoharibu matunda

Nzi wa matunda husababisha hasara kwa wakulima na wanaonunua matunda kutoka kwao. Tunda likiwa limedungwa, huenda usione madhara moja kwa moja, lakini baada ya siku chache utaona tunda likianza kuoza.
Tazama video hapo chini kujifunza zaidi