Kuwatega inzi wanaoharibu matunda

Feromoni ni kemikali zinazowavutia nzi wa kiume pekee. Feromoni hunukia kama nzi wa kike, hivyo kuwavutia nzi wa kiume kutoka umbali unaozidi mita 100. Katika video hii utajifunza kuhusu mitengo mbalimbali ya feromoni na jinsi ya kuitega shambani.