Tazama video hapo juu kujifunza zaidi namna ya kudhibiti vidung'ata kwenye mbogamboga.
Kangambili huwaua vidung’ata. Lakini pia vidung’ata unaweza kuwaua au kuwaondoa kwenye mimea kwa kutumia unyunyizaji wa maji kwa nguvu nyingi, Unaweza pia kunyunyiza mafuta ya mwarubaini kwa kuchanganya na maji au mkojo. Baadhi ya viuatilifu vya kibayolojia huwa na fangasi zinazoua vidung’ata.
YouTube Channel ➭ Subscribe here