Kudhibiti uozo mweusi kwenye kabichi

 Wakulima wengi hudhani uozo mwesi ni ugonjwa wa ubwiri unyoya, tofauti ni kwamba ubwiri unyoya huanza kama madoa ya zambarau kwenye majani, nao uozo mweusi huanza kama mabaka madogo ya njano au kijani yenye umbo la V pembezoni mwa jani.

YouTube Channel    Subscribe here