Kilimo mseto cha mahindi na mbaazi.
Mimea jamii ya kunde kama mbaazi huvuta naitrojeni kutoka hewani na kuiweka ardhini. Ndiyo maana inaitwa mimea ya kuongeza naitrojeni, ukilima mbaazi pamoja na mmea mwingine, vinundu vilivyo kwenye mizizi ya mbaazi vitaupa mmea huo mwingine naitrojeni. Mizizi, mashina au majani yoyote ya mmea huo yanayobaki shambani pia huboresha udongo.
Kujifunza zaidi tazama video hapo juu.
Youtube channel ➭ Subscribe here