Utunzaji mzuri wa nyanya baada ya kuzivuna.

Mara tu unapovuna nyanya zako ubora wake huanza kupungua ili uweze kupunguza kasi ya kupungua huko kwa ubora fuata baadhi ya mbinu tazama video hapo chini kujifunza.