Ugonjwa wa batobato kwenye mihogo.

Mmea wa mhogo ukiwa hauna tatizo huwa na majani yenye rangi ya kijani kibichi bila alama yoyote lakini katika mashamba yetu huwa tunaona majani ya mihogo yaliyo na madoadoa na kijani kisichokolea au manjano wakati mwingine majani huharibika umbo na kuwa madogo, hii inaonesha kwamba mmea una ugonjwa wa batobato unao sababishwa na virusi.
Tazama video hapo juu kujifunza zaidi kuhusu ugonjwa wa batobato kwenye mihogo.
Youtube channel    Subscribe here