Sayansi ya Kiduha

 

Tazama video hapo juu kujifunza zaidi kuhusu Gugu chawi au Kiduha.
Gugu chawi au kiduha ni mojawapo ya magugu hatari kwa mtama, mawele na mahindi, gugu hilo hushambulia na kuishi juu ya mmea mwingine likifyonza chakula cha ule mmea, kinyume na tunavyoaamini kiduha halizaani kupitia mizizi bali ni kwa mbegu, mbegu hizi ni ndogo sana kiasi kinachomfanya mkulima asiweze kuzitambua kwamba ni mbegu, huonekana kama vumbi jeusi lakini usidanganyike hizo ni mbegu za gugu hatari na lenye athari kubwa kwenye mazao.
Youtube channel   ➭  Subscribe here