Kuvuna na kuhifadhi bamia

 

Tazama video hapo juu kujifunza zaidi mbinu bora za kuvuna na kuhifadhi bamia.

Vuna bamia kila baada ya siku mbili ili zisiive, lakini acha zile ndogo ili uzivune katika awamu inayofuata. Ikiwa utaacha matunda kwenye mbamia hadi yaive, matunda hayo yatatumia viini lishe vigi katika mti huo na kupunguza kasi ya ukuaji, mbamia ambao huvunwa kwa kisu hutoa maganda kwa hadi miezi 6 bila kukumbana na madhara. Bamia freshi zinaweza kuhifadhiwa kwa muda wa hadi wiki tatu kwenye friji bila kuharibika. Kwa kukata na kukausha bamia kwenye kivuli, zinaweza kuhifadhiwa kwa mwaka mmoja bila kupoteza virutubisho wala rangi yake halisi.

YouTube Channel  ➭  Subscribe here