kudhibiti magonjwa kwenye vitunguu

 

Tazama video hapo juu kujifunza mbinu za kudhibiti magonjwa kwenye vitunguu.

Vitunguu hustawi vizuri kwenye mazingira tofauti tofauti, lakini vitunguu vikipandwa msimu wa mvua vina nafasi kubwa ya kupatwa na magonjwa, magonjwa ya vitunguu yanaweza kupunguza mavuno yako.

YouTube Channel    Subscribe here