Ufunguzi maonesho ya nanenane 2022 Kitaifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mh. Philip Isdor Mpango amefungua rasmi maonesho ya wakulima ya nanenane ambayo Kitaifa yanafanyika katika uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya, Kauli Mbiu ya Mwaka huu ni "Ajenda 10/30 kilimo ni Biashara, Shiriki kuhesabiwa kwa mipango Bora ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi " 

Youtube channel    Subscribe here